Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2026

KWANINI WENGI WANASALI JUMAPILI?

 Hili limekuwa swali kuu, kwanini idadi kubwa ya watu wanashika Siku ya kwanza(01) ya juma yaani jumapili Kama Siku ya ibada?  Katika Somo la Siku ya sabato ni ipi tumejifunza, kuwa sabato ya kweli ni jumamos:  Ikiwa ndivyo, jumapili iliingiaje Kama Siku ya ibada, hadi wengi wanaishika leoo...karibu tujifunze pamoja....  *YESU ALITUNZA SABATO* Katika kitabu Cha Luka 4:16 anasema: ilikuwa desturi ya Mwokozi kusali Siku ya sabato(jumamosi) kumbe Yesu hakutunza jumapili Kama Siku ya ibada ....  *MITUME WALITUNZA SABATO*  Katika kitabu Cha matendo 16:13 neno linasema: Mitume hata baada ya Yesu kupaa mbinguni bado waliendelea kutunza sabato .....kamwe hawakushika jumapili, maana ilikuwa Siku ya kazi.  *BADILIKO LA SABATO, LILITABIRIWA KWENYE MAANDIKO Katika kitabu Cha Daniel 7:25 inasema: [25]Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wa...